Mikeka ya Leo
Pata mikeka ya uhakika yenye asilimia kubwa ya ushindi hapa kila siku. Mikeka yetu imeandaliwa kwa umakini na uchambuzi mkubwa ili kukuhakikishia unasimama katika nafasi kubwa ya ushindi.
Cheza Aviator sasa na Betway Tanzania. Samsung 24 kushindaniwa kila wiki!
⭐⭐ KEKA MIX la Leo ⭐⭐ Jumatano: 30/10/2024
Time | Matches | Tips |
---|
Arsenal Xclusives! Shinda Jezi 3 za Arsenal pamoja na Tsh. 10,000 BURE! Kwa kubeti mechi yoyote ya Arsenal. Jiunge na Ofa Hii Sasa!
⭐⭐⭐ Betslip ya Leo (VIP) ⭐⭐⭐
Jumatano: 30/10/2024
Betslip | Odds |
---|---|
Away Win
Empoli vs Inter |
1.44 |
Home Win
Freiburg vs Hamburg |
1.53 |
Over 2.5
Paderborn vs Werder Bremen |
1.5 |
Stake: 56,000 TZS Possible Win: |
Odds:
3.30
Bonus: +15% |
⭐⭐⭐ Mega Odds za Leo ⭐⭐⭐
📅 Jumatano: 30/10/2024
-
20:00Germany - DFB PokalFreiburg
HamburgHome Win -
20:00Netherlands - EredivisieFeyenoord
Ajax1X & Yes -
20:00Germany - DFB PokalPaderborn
Werder BremenOver 2.5 -
20:00Germany - DFB PokalHertha
HeidenheimOver 2.5 -
20:30Italy - Serie AEmpoli
InterAway Win -
20:30Greece - CupAEK Athens
ArisHome Win -
22:30England - League CupBrighton
LiverpoolOver 2.5 -
22:45Scotland - PremiershipCeltic
Dundee1/1 -
22:45Germany - DFB PokalMainz 05
Bayern Munich2 & Over 2.5 -
22:45Italy - Serie AJuventus
ParmaHome Win -
22:45Germany - DFB PokalHoffenheim
NurnbergHome Win -
22:45England - League CupManchester United
Leicester1 & GG -
22:45England - League CupPreston North End
ArsenalOver 2.5 -
22:45Germany - DFB PokalDynamo Dresden
DarmstadtOver 2.5 -
22:45England - League CupAston Villa
Crystal PalaceOver 2.5 -
23:15Portugal - Taca da LigaBenfica
Santa Clara1/1
Freebet ya Tsh. 20,000/= ukijisajili na kubet na Betway leo!
Mkeka wa Leo | WhatsApp Channel
Sasa Tupo WhatsApp Jiunge na channel yetu ya WhatsApp na uwe wa kwanza kupata mikeka yetu ya kila siku. Huku tunatoa mikeka na booking codes za uhakika BURE!
Kujiunga na channel yetu bonyeza button hapa chini
JIUNGE SASA!
Angalia Pia
-
Mega Odds za Leo | Acca Tips
Angalia mega odds za leo. Acca Tips zenye nafasi kubwa ya ushindi le...
-
Mikeka ya Over 1.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 1.5 na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Mikeka ya Over 2.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 2.5 na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Mikeka ya Over 0.5 First Half
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 0.5 kipindi cha kwanza, ligi nzuri na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Sure 3 | Betslip ya Siku
Angalia Odds 3 za uhakika leo. Hii hapa betslip ya siku yenye odds za uhakika 3 leo...
-
Kampuni Bora za Betting Tanzania
Angalia list ya kampuni bora 5 za betting Tanzania kwa mwaka huu...
-
Mbinu za Kushinda Betting
Jifunze mbinu za kushinda betting zako na uondokane na hasara za mara kwa mara...
Maana ya 1, 1X, 2, X2, 12 kwenye Betting
- 1 kwenye betting 1 inasimama kama Home/Timu ya nyumbani. Kwa kuweka 1 hapa tunatabiri timu ya nyumbani kushinda.
- X kwenye betting X inasimama kama Draw/Suluhu. Kwa kuweka X hapa tunatabiri hiyo match kutoa droo.
- 2 kwenye betting 2 inasimama kama Away/Timu ya ugenini. Kwa kuweka 2 hapa tunatabiri timu ya ugenini kushinda.
- 1X kwenye betting 1X inasimama kama Double Chance Home/Draw. Kwa kuweka 1X hapa tunatabiri timu ya nyumbani kushinda au kutoa droo. Ikishinda mkeka wetu umetiki, pia ikitoa droo mkeka wetu umetiki.
- X2 kwenye betting X2 inasimama kama Double Chance Draw/Away. Kwa kuweka X2 hapa tunatabiri timu ya ugenini kutoa droo au kushinda. Ugenini akishinda mkeka wetu umetiki, pia akitoa droo mkeka wetu umetiki.
Maana ya BTS, GG na NG kwenye Betting
Hapa tunataabiri iwapo kwenye hii match pande zote mbili zitafungana ama la!
- GG kwenye betting GG inasimama kama Yes, Kwa kuweka GG hapa tunatabiri pande zote zitafungana. Mfano wa matokeo ya GG ni: 1:1, 2:1, 2:2, 3:1, 3:2, 3:3, 1:2, 1:3, 2:3 n.k.
- BTS BTS na GG ni kitu kimoja, inasimama kama Both Teams To Score? - Yes, Kwa kuweka BTS hapa tunatabiri pande zote zitafungana. Mfano wa matokeo ya GG ni: 1:1, 2:1, 2:2, 3:1, 3:2, 3:3, 1:2, 1:3, 2:3 n.k.
- NG kwenye betting NG inasimama kama No, Kwa kuweka NG hapa tunatabiri hawatafungana au pande moja ndo itafunga tu. Mfano wa matokeo ya NG ni: 0:0, 1:0, 2:0, 3:0, 0:1, 0:2, 0:3 n.k.
Maana ya 1st Half Multigoals
Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa kipindi cha kwanza.
- 1st Half Multigoals: 1 - 2 Hapa tunatabiri lifungwe goli moja au mawili kipindi cha kwanza. Yakizidi mawili tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 0:1 na 0: 2
- 1st Half Multigoals: 1 - 3 Hapa tunatabiri lifungwe goli mpaka matatu kipindi cha kwanza. Yakizidi matatu tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 3:0, 2:1 0:1, 0: 2, 1:2 na 0:3
Maana ya Home / Away Multigoals
Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na team ya Home au Away ndani ya dakika 90+ za mchezo. Hii haijalishi atashinda, atadroo au atapoteza ila tunachoangalia ni apate goli au magoli ndani ya range tulioiweka.
- Hometeam Multigoals: 1 - 2 Hapa tunatabiri team ya nyumbani kupata goli moja au mawili. Team ya nyumbani ikizidisha zaidi ya magoli mawili tumepoteza.
- Awayteam Multigoals: 1 - 2 Hapa tunatabiri team ya ugenini kupata goli moja au mawili. Team ya ugenini ikizidisha zaidi ya magoli mawili tumepoteza.
- Hometeam Multigoals: 1 - 3 Hapa tunatabiri team ya nyumbani kupata goli moja, mawili ama matatu. Team ya nyumbani ikizidisha zaidi ya magoli matatu tumepoteza.
- Awayteam Multigoals: 1 - 3 Hapa tunatabiri team ya ugenini kupata goli moja, mawili ama matatu. Team ya ugenini ikizidisha zaidi ya magoli matatu tumepoteza.
Maana ya Total Goal Rangess
Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na teams zote ndani ya dakika 90+ za mchezo.
- Total Goal Rangess: 2 - 4 Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne, mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4. Jumla ya magoli yakizidi manne tumepoteza.
- Total Goal Rangess: 2 - 5 Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi matano. Jumla ya magoli yakizidi matano tumepoteza.
Maana ya Goal Bands
Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na teams zote ndani ya dakika 90+ za mchezo.
- Goal Bands: 2 - 4 Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne, mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4. Jumla ya magoli yakizidi manne tumepoteza.
- Goal Bands: 2 - 5 Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi matano. Jumla ya magoli yakizidi matano tumepoteza.
Maana ya Player Sent off?
Player sent off? Hii ni bet ya kuchagua iwapo kwenye mchezo mzima itatokea mchezaji kutolewa nje kwa red card ama la!.
- Player sent-off? - No Hapa tunatabiri kuwa hakutakuwa na mchezaji atakae tolewa nje kwa red card. "No" ni rahisi kushinda na odds zake ziko chini kidogo.
- Player sent-off - Yes Hapa unakubali kuwa kwenye mchezo mzima kutakuwa na red card. "Yes" ni ngumu na ina odds kubwa sana.