Mbinu za Kushinda Betting
Je!, Umekuwa ukipoteza mara kwa mara betting na hujui nini utafanya. Inauma pale kila mara ukibet mkeka unachanika hadi unahisi kukata tamaa.
Siku ya leo nimekuandalia mbinu za kushinda betting/mikeka zitakazo kufanya usahau vipigo vya kila mara toka kwenye kampuni za betting au tunaweza tukasema mbinu za kumla Mhindi kila mara
Mbinu #1: Fuata utabiri wa wataalamu:
Moja wapo ya mbinu nzuri ya kushinda mikeka/betting kila mara na kusahau vipigo vya mara kwa mara ni kufuatana na tabiri za wataalamu wa kubet. Mojawapo ya wataalamu ni site yetu ya bet-link.top. Hapa huwa tunaanda mikeka na free betting tips kila siku. Mikeka yetu inaasilimia kubwa ya ushindi zaidi ya 88%. Wengi wanaofuata mikeka yetu wanapata mafanikio chanya kwa kiasi kikubwa sana.
- Supa Tips za Leo: SupaTips ni aina ya mikeka yetu myepesi na yenye asilimia kubwa za ushindi.
- Betslip ya Leo: Ungana nasi kweye utabiri wa uhakika wa betting kupitia betslip. Hapa Kila siku huwa tunapakia betslip zetu kutoka makampuni tofauti-tofauti.
- Mega Odds za Leo: Hizi ni mega odds za kila siku zinazopatikana kwenye site yetu ya bet-link.top. Mega Odds hizi zinahusisha mikeka yenye odds nyingi na yenye nafasi kubwa ya ushindi.
Utabiri wa Mechi za Leo
Hizi hapa ni tabiri zetu za leo. Kumbuka tabiri hizi zinapatikana kila siku.
Mbinu #2: Bet Kwenye Options / Machaguo ya Siri
Najua unashangaa, yapi ni machaguo au bettinging options za siri.
Machaguo ya siri ni yale machaguo ambayo kampuni zimeyaweka chini kabisa na kwa siri sana ambapo hutaweza kusikia wakizipromote kwenye matangazo yao. Haya machaguo yanakuwaga na nafasi kubwa sana za ushindi ukilinganisha na mcahaguo mengine ya kawaida kama direct win, double chance na over/under.
-
1st Half Multigoals: 1 - 2. Hapa tunatabiri lifungwe goli moja au mawili kipindi cha kwanza. Yakizidi mawili tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 0:1 na 0: 2. Badala ya kubet over 0.5 kipindi cha kwanza yenye odds chache, vipi kama utatabiri idadi ya range ya magoli kipindi cha kwanza ambayo itaboost wingi wa odds zako.
Kikawaida options za multigoals kipindi cha kwanza huwa zina odds kuanzia 1.5 na kuendelea huku over 0.5 ikiwa na odds chini ya 1.36. Hapo chini ni kampuni yenye options za multigoals.
-
Tota Goals Ranges: 2 - 4. Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne, mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4 . Sasa badala ya kubet over 1.5 yenye odds chache, vipi kama utabet kwa range ya magoli na kupata odds kubwa kuanzia 1.6 na kuendelea.
Hapa chini nimekuwekea kampuni yenye machaguo ya Total Goals Ranges 2-4, 2-5 n.k
-
First 10 minutes Draw (X). Hapa tunatabiri dakika 10 za mwanzo za mchezo watatoka droo au hawatafungana. Zaidi ya 80% ya michezo yote ya mpira wa miguu duniani dakika 10 za mwanzo huwa hawafungani au kunakuwa hakuna goli kabisa. Sasa vipi nikikuambia kuwa kuna kampuni ina hili chaguo?.
Hapa chini nimekuwekea kampuni yenye machaguo ya First 10 minutes na First 15 minutes