Mkeka wa Leo | Over 1.5 Tips

Pata mikeka ya leo ya Over 1.5 (Juu ya 1.5). Mkeka wa Over 1.5 ni mionngoni mwa mikeka rahisi sana kushinda. Mikeka hii imefanyiwa majaribio na timu ya Mkeka wa Leo na imeonesha zaidi ya 90% ya mafanikio.

BetWay - Bet Influencer Offer Tanzania
#BetwayBalozi NI RAHISI! Weka mkeka, share code na wana kisha upate asilimia 4% kwa kila dau watakaloweka bila kujalisha matokeo ya mkeka 🔥🤑

« Juzi
Jana
⁕ Leo ⁕
Kesho »

⭐⭐⭐ Over 1.5 Tips | Leo ⭐⭐⭐ Jumatatu: 28/04/2025

Time Matches Tips
CZE 2
Banik Ostrava B
Sellier & Bellot Vlasim
Over 1.5
CYP
Karmiotissa
Omonia 29th May
Over 1.5
ITA
Udinese
Bologna
Over 1.5
NOR
Mjoendalen IF
IK Start
Over 1.5
DEN
Aalborg
Vejle
Over 1.5
ITA
Lazio
Parma
Over 1.5
ECH
Leeds
Bristol City
Over 1.5
ICE
Fram
Afturelding
Over 1.5
BetWay Tanzania
Bonus ya 100% kwa mteja mpya!
Bonus ya hadi 700% kwenye mkeka wako
Bilionea Jackpot. Bilioni 5 kwa BUKU TU!
Aviator Ofa. Bashiri za bure kila siku!



FREE BET
Freebet Betway Tsh. 20,000
Freebet ya
Tsh. 20,000/=
ukijisajili na kubet na Betway leo!
*vigezo na masharti kuzingatiwa.

Maana ya Under/Over 1.5

Over 1.5: Over 1.5 hapa tunatabiri jumla ya magoli mawili au zaidi kupatikana kwenye match husika. Matokeo haya ni ushindi 1:1, 2:0, 0:2, 2:1, 1:2, 2:2, 3:0, 3:1, 3:2, 3:3 n.k

Under 1.5: Under 1.5 hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match husika yawe chini ya mawili, tofauti na hapo tumepoteza. Matokeo haya ni ushindi 0:0, 1:0, 0:1.



Ligi Bora/Nzuri za Kubetia Over 1.5

Ligi bora za soka za kubashiri Over 1.5 / zaidi ya mabao 1.5 zinaweza kutofautiana na inategemeana na mambo kadha wa kadha kama vile utendaji wa timu, namna ya uchezaji, na ushindani kwa ujumla. Hata hivyo, baadhi ya ligi ambazo ni mashuhuri na hufahamika kwa mechi zenye mabao mengi zaidi kuliko zingine. Ligi hizi ni kama vile:

  • Eredivisie na Eerste Divisie za Uholanzi
  • Bundesliga, Oberliga, Regionalliga na 3. Liga za Ujerumani
  • Premier League na Championship za Uingereza
  • Scottish Premiership ya Uskoti
  • Belgian Pro League ya Ubelgiji

Ligi hizi mara nyingi huwa na sifa ya mechi zenye mabao mengi. Aidha, ligi zenye timu zisizofikiria sana kuhusu ulinzi au zile zenye falsafa ya kushambulia zaidi mara nyingi huona mabao mengi yakifungwa.

Ni muhimu kufanya utafiti na uchambuzi wa kina, kuchambua takwimu za mechi za hivi karibuni, kuzingatia mikakati ya timu, na kufuatilia habari au habari zozote muhimu ambazo zinaweza kuathiri mchezo. Ni busara pia kufanya uwekezaji kwa tahadhari na kusimamia ubashiri wako kwa uwajibikaji.