Betway
Bet Kuanzia Tsh. 100
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya Betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%
Jiunge SasaHapa tumechambua na kulinganisha kampuni mbalimbali za michezo ya kubashiri mtandaoni na kuja na kampuni bora tano kwa mwaka huu 2026 nchini Tanzania.
Zifuatazo ni kampuni ambazo zinaongoza kwa huduma nzuri kwa wateja, bonus kubwa, uharaka wa kuweka na kutoa pesa na machaguo mengi ya bashiri.
Kwenye kampuni bora za michezo ya kubashiri Tanzania na duniani, BetWay anashikilia usukani.
Kampuni kongwe yenye maduka kila pembe ya Tanzania. Gal Sport Betting.
Kampuni kubwa duniani na mpya kwa soko la Tanzania. LeonBet Tanzania imekuja kufanya mapinduzi katika masoko ya kubashiri mpira wa miguu na michezo ya Casino.
Kampuni kubwa kwa uwekezaji, jackpots na kwa michezo ya kubashiri kwa sasa Tanzania nyuma ya BetWay ni 888bet.
Kwa siku ya leo tuko na kampuni nyingine bora kwa michezo ya kubashiri na casino mtandaoni. Hapa naizungumzia Parimatch. Ukiachana na Tanzania, Parimatch ni mojawapo ya kampuni kubwa za betting duniani.
Parimatch wanakuja na ofa zifuatazo:
Kampuni nyingine bora kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania ni PremierBet. PremierBet pia ni miongoni mwa kampuni zinazoongoza kuwa na maduka mengi sana Tanzania na ikiwa ni kampuni mojawapo kongwe.
PremierBet Tanzania wanakuja na Ofa na Faida zifuatazo
Kampuni inayofuata katika list hii ya uchambuzi wetu wa kampuni bora za Betting Tanzania ni MeridianBet. Hii ni mojawapo mwa kampuni kongwe nchini Tanzania na yenye maduka ya ubashiri nchi nzima
Na hizo hapo juu ndio kampuni 5 bora za michezo ya kubashiri nchini Tanzania kwa mwaka huu 2026. Kampuni zote ziko chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania ni chombo cha udhibiti wa michezo ya kubahatisha ambacho kilianzishwa chini ya Sheria ya Michezo ya Kubahatisha Cap. 41 na kuanza kutumika tarehe 1 Julai 2003. Ina jukumu la kusimamia, kufuatilia na kudhibiti uendeshaji wa shughuli za michezo ya kubahatisha nchini Tanzania.
Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania hapo awali ilidhibitiwa chini ya Sheria ya Madimbwi na Bahati Nasibu, 1967 na Sheria ya Bahati Nasibu ya Taifa, 1974. Hadi kuanza kwa mageuzi ya kiuchumi mwaka 1985, ni bahati nasibu ya kitaifa pekee ndiyo iliyoendeshwa kama shughuli muhimu ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania na Bahati Nasibu ya Taifa iliyokufa. . Sera ya ukombozi wa kiuchumi na mipango ya mageuzi, na haswa kupitishwa kwa Sheria ya Kitaifa ya Matangazo na Ulinzi ya Uwekezaji ya 1992, ilichochea miradi ya uwekezaji katika tasnia ya hoteli na burudani. Marekebisho yanayoendelea ya kiuchumi yalilazimu kuundwa kwa Sera ya Kitaifa ya Shughuli za Michezo ya Kubahatisha na baadaye kupitishwa kwa Sheria ya Michezo ya Kubahatisha Sura. 41, hivyo basi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.
Mchambuzi wa michezo na Tipster Mkuu wa Mkeka wa Leo , mwenye zaidi ya miaka 8 ya uzoefu katika kutoa betting tips sahihi na zenye takwimu kwa mashabiki wa mpira Tanzania.
Paul huchambua mechi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Premier League, La Liga, Serie A na ligi zingine kubwa za ulaya kwa kutumia data, form ya timu, na odds zenye thamani ili kuhakikisha mikeka yenye nafasi kubwa ya ushindi.
Betway
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya Betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%
Jiunge Sasa
Bure!
Tabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka kila wiki na ushinde dau nono la hadi milioni 10
Jiunge Sasa
GSB
Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Jisajili leo na upate bonasi yako!
Jiunge Sasa
5,000 Bure
Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino
Jiunge Sasa
LEON
Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku
Jiunge Sasa