Mkeka wa Leo | Over/Under 3.5 Tips

Pata mikeka ya leo ya Over/Under 3.5 (Juu/Chini ya 3.5). Hii ni mikeka yetu ya kila siku iliyochambuliwa na kutoa bashiri za idadi ya mabao/magoli katika mechi husika. Mikeka hii inatoa odds za uhakika za leo na kesho kwa chaguo la Over/Under 3.5

BetWay - Bet Influencer Offer Tanzania
#BetwayBalozi NI RAHISI! Weka mkeka, share code na wana kisha upate asilimia 4% kwa kila dau watakaloweka bila kujalisha matokeo ya mkeka 🔥🤑

« Juzi
Jana
⁕ Leo ⁕
Kesho »

⭐ Over/Under 3.5 Goals Tips | Leo ⭐ Jumatatu: 28/04/2025

Time Matches Tips
ITA
Como
Genoa
Under 3.5
NED
Ajax
Sparta Rotterdam
Over 3.5
UCL
Chelsea W
Barcelona W
Over 3.5
GER
Bochum
Union Berlin
Under 3.5
NED
Almere City
G.A. Eagles
Under 3.5
FRA
Nantes
Toulouse
Under 3.5
EPL
Liverpool
Tottenham
Over 3.5
ITA
Juventus
Monza
Under 3.5
UCL
Lyon W
Arsenal W
Over 3.5
POR
Benfica
AFS
Over 3.5
ITA
Atalanta
Lecce
Over 3.5
BetWay Tanzania
Bonus ya 100% kwa mteja mpya!
Bonus ya hadi 700% kwenye mkeka wako
Bilionea Jackpot. Bilioni 5 kwa BUKU TU!
Aviator Ofa. Bashiri za bure kila siku!



FREE BET
Freebet Betway Tsh. 20,000
Freebet ya
Tsh. 20,000/=
ukijisajili na kubet na Betway leo!
*vigezo na masharti kuzingatiwa.

Maana ya Under/Over 3.5

Over 3.5: Over 3.5 hapa tunatabiri jumla ya magoli manne au zaidi kupatikana kwenye match husika. Matokeo haya ni ushindi 2:2, 3:1, 3:2, 4:0, 4:1, 4:2, 4:3, 5:0, 5:1, 5:2, 5:3, 6:0, 6:1, 6:2, n.k.

Under 3.5: Under 3.5 hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match husika yawe chini ya manne, tofauti na hapo tumepoteza. Matokeo haya ni ushindi 0:0, 1:0, 1:1, 2:0, 2:1, 3:0



Ligi Bora na Nzuri za Kubetia Under/Over 3.5 Goals

Zipo ligi nyingi na bora za soka ulimwenguni za kubashiri Under/Over 3.5 Goals (Chini/Juu ya mabao 3.5). Katika hili chaguo mara nyingi wabetiji wengi hupendelea kubashiri chaguo la Under 3.5 kwa zile ligi zenye wastani wa mabao machache kwa mechi zao nyingi. Chaguo hili la Under 3.5 Goals mara nyingi huwa linaonesha mafanikio kwa wakamaria wengi. Pia ni vizuri kuzingatia vitu kama vile utendaji wa timu (team performance), namna ya uchezaji, na ushindani wake kwa ujumla kabla hujaweka chaguo hili.

Hata hivyo, kuna baadhi ya ligi ambazo ni mashuhuri na hufahamika kwa mechi zenye mabao mengi mara kwa mara zaidi kuliko zingine. Ligi hizo ni kama vile:

Ligi 10 Bora Kubetia Chaguo la Over 3.5 Goals

  1. 🇸🇬 S-League ya Singapore
  2. 🇫🇮 Kakkonen Gr. B & C za Finland
  3. 🇳🇿 National League ya New Zealand
  4. 🇳🇴 Division 2 ya Norway
  5. 🇶🇦 Stars League ya Qatar
  6. 🇩🇪 Regionalliga North & South za Ujerumani
  7. 🇦🇪 Arabian Gulf League ya UAE (Falme za Kiarabu)
  8. 🇳🇱 Eredivisie ya Uholanzi
  9. 🇩🇪 Bundesliga 1 & 2 za Ujerumani
  10. 🇮🇸 Urvalsdeild & 1. Deild za Iceland (Visiwa vya Iceland)

Ligi hizi mara nyingi huwa na sifa ya mechi zenye mabao mengi. Mbinu nzuri ya kuzitambua ligi zenye mabao mengi au ligi bora kwa Over 3.5 ni kwa kuangalia ligi zenye timu mbovu upande wa ulinzi na kuruhusu mabao mengi au zile zenye falsafa ya kushambulia zaidi mara nyingi kama ligi za Ujerumani.

Pia, tuna ligi nzuri na bora za kubetia chaguo la Under 3.5 Goals (Chini ya Mabao 3.5). Ligi hizi ni zile zenye ubovu katika ufungaji au zile timu zenye ushindani mkubwa zikiwa na mabeki pamoja na walinzi bora. Hizi hapa ni Ligi 10 zenye tabia ya kutoa Under 3.5 mara kwa mara:

Ligi 10 Bora Kubetia Chaguo la Under 3.5 Goals

  1. 🇮🇷 Iran Pro League
  2. 🇰🇪 Kenya Premier League
  3. 🇿🇦 South Africa PSL
  4. 🇪🇬 Egypt Premier League
  5. 🇹🇳 Tunisia Ligue 1
  6. 🇦🇷 Argentina Primera B Nacional
  7. 🇦🇷 Argentina Primera
  8. 🇩🇿 Algeria Ligue 1
  9. 🇹🇿 Tanzania Premier League
  10. 🇪🇸 Spain Primera RFEF Gr. 2

Kwa kumalizia. Ni muhimu kufanya utafiti na uchambuzi wa kina, kuchambua takwimu za mechi za hivi karibuni, kuzingatia mikakati ya timu, na kufuatilia habari au habari zozote muhimu ambazo zinaweza kuathiri mchezo. Ni busara pia kubet au kufanya uwekezaji wako kwa tahadhari na kusimamia mipango ya ubashiri wako. Usiweke hisia na jifunze kungoja kesho kama siku ya leo haitakuwa nzuri.