Gal Sport Betting Tanzania 2025 - App, Kujisajili, Promo Code, na Ofa

Company Info
- 🌍 Website: https://gsb.co.tz/
- 📅 Founded: 2014
- 🎰 Licensed by: Gaming Board of Tanzania
- 🆔 License Number: SBL000000023 (Issued 14 Aug 2020)
- 📱 Mobile App: Inapatikana kwa Android
Gal Sport Betting (T) Limited ni moja kati ya kampuni kubwa zaidi za michezo ya kubahatisha mtandaoni nchini Tanzania. Ilianzishwa mwaka 2014 na inatoa huduma kwa wateja wa ndani na wa kimataifa kupitia tovuti yao na mitandao ya maduka zaidi ya 100 nchini.
Kampuni hii imepewa leseni rasmi na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania na pia imesajiliwa kimataifa kupitia Curacao. Wanafuata viwango vya juu vya usalama na uwazi.
Makao makuu yapo Dar es Salaam, lakini huduma zinapatikana nchi nzima kupitia maduka ya rejareja pamoja na tovuti yao ya kisasa yenye mfumo wa usimbaji data (SSL) kwa ulinzi wa taarifa zako.
Huduma kwa wateja ni sehemu muhimu ya mafanikio yao, na timu yao ya msaada inapatikana kupitia simu, barua pepe, na live chat muda wote wa siku (24/7).
Faida na Hasara
✅ Faida
- Kubashiri michezo ya ndani na kimataifa
- Programu ya Android rahisi kutumia
- Huduma kwa wateja 24/7
- Maduka mengi nchi nzima
❌ Hasara
- Hakuna app ya iOS kwa sasa
- Odds ndogo kwa baadhi ya michezo
Machaguo ya Kubashiri
Gal Sport Betting inatoa machaguo mengi ya kubashiri kwenye michezo mbalimbali kama soka, mpira wa kikapu, tenisi, netball, na pia mashindano ya ndani kama Ligi Kuu Tanzania Bara. Unapata pia huduma za live betting, mechi za moja kwa moja na takwimu za kina kwa kila mchezo.

Malipo - Deposits & Withdrawals
Njia za kufanya miamala ni salama na rahisi kutumia, ikiwa ni pamoja na:
- M-Pesa
- Tigo Pesa
- Airtel Money
- Halopesa
- Malipo kwa duka (Cash)
Malipo ni ya papo hapo na huduma inapatikana masaa 24/7.
Jinsi ya Kujisajili
- Tembelea tovuti rasmi: https://gsb.co.tz/
- Bonyeza kitufe cha "Jisajili"
- Weka namba yako ya simu na password
- Thibitisha akaunti kupitia ujumbe wa SMS (OTP)
- Fanya amana yako ya kwanza na uanze kubashiri!
App ya Gal Sport Betting - Download
- Android: Jisajili na Pakua App
- iOS: Jisajili na Tumia Web App
Promosheni na Ofa
Gal Sport Betting inatoa ofa mbalimbali kama zifuatazo
- 100% bonus kwenye deposit ya kwanza
- Cashback ya michezo ya kubashiri iliyopotea
- Multibet bonus kwa bashiri zaidi ya 4
- Jackpot ya BURE kubashiri
- Zawadi za wiki kwa wateja wa mara kwa mara

Hitimisho
Gal Sport Betting ni chaguo imara kwa watanzania wanaopenda kubashiri. Ina huduma nzuri, urahisi wa kutumia app, maduka ya karibu na wewe, na promosheni za kuvutia. Ingawa haina app ya iOS kwa sasa, faida zake nyingi zinaifanya ivutie.
Angalia Pia
-
Mega Odds za Leo | Acca Tips
Angalia mega odds za leo. Acca Tips zenye nafasi kubwa ya ushindi le...
-
Mikeka ya Over 1.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 1.5 na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Mikeka ya Over 2.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 2.5 na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Mikeka ya Over 0.5 First Half
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over 0.5 kipindi cha kwanza, ligi nzuri na mbinu za kushinda mikeka hii...
-
Sure 3 | Betslip ya Siku
Angalia Odds 3 za uhakika leo. Hii hapa betslip ya siku yenye odds za uhakika 3 leo...
-
Mikeka ya Over/Under 3.5
Angalia mikeka yetu ya leo ya Over/Under 3.5, ligi na mbinu za kushinda mikeka hii
-
Mikeka ya Correct Score
Pata mikeka ya correct score kila siku bure. Mikeka ya uhakika ya correct score leo na kesho
-
Kampuni Bora za Betting Tanzania
Angalia list ya kampuni bora 5 za betting Tanzania kwa mwaka huu...
-
Mbinu za Kushinda Betting
Jifunze mbinu za kushinda betting zako na uondokane na hasara za mara kwa mara...
-
Misimamo ya Ligi Kuu
Angalia misimamo ya ligi kuu mbalimbali duniani. Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Ratiba na Matokeo
Bonasi na Ofa

Bet Kuanzia Tsh. 100
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!
Jitayarishe kwa changamoto kuu ya utabiri ukitumia FreePick6! Karibu kwenye FreePick6, ambapo ujuzi wako wa kutabiri unaweza kukuongoza kwenye ushindi mkubwa! Kila wiki, una nafasi ya kutabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka liyochaguliwa na kushinda dau nono la hadi milioni 10

Ofa ya Ukaribisho 100%
Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Hii ndiyo njia mwafaka ya kuanza nasi na kufurahia msisimko wa kubashiri katika michezo. Usikose ofa hii ya kusisimua, jisajili leo na upate bonasi yako!

5,000 BURE! Ofa ya App
Changamkia mchongo! Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino. Ni burudani bampa to bampa na LEON!

Rudishiwa 10% Kila Siku
Sloti kumenoga, cheza bila wasiwasi na Urudishiwe 10% Kila Siku. Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku. Usikae kinyonge, cheza sloti na ushinde zawadi deile!