Meridianbet Tanzania 2025 - App, Kujisajili, Promo Code, na Ofa

Meridianbet Tanzania Screenshot

Maelezo ya Kampuni

  • 🌍 Tovuti: https://meridianbet.co.tz/
  • 🎰 Imesajiliwa na: Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania)
  • 🏢 Mmiliki/Mwendeshaji: Bit Tech Limited, Dar es Salaam, Tanzania
  • 📱 Programu ya Simu: Android, iOS na Huawei (AppGallery)

Meridianbet Tanzania ni tovuti ya kubashiri michezo na kasino mtandaoni, inayodhibitiwa kisheria hapa nchini. Inamilikiwa na Bit Tech Limited (Dar es Salaam) na inazingatia masharti ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Usalama wa taarifa zako uko chini ya ulinzi wa SSL, na kampuni inasisitiza kubashiri kwa uwajibikaji (18+).

Kwa upande wa uadilifu wa michezo, Meridianbet inaunga mkono mpango wa “Early Warning System (EWS)” na kushirikiana na taasisi za ndani kama TSBA na FIU.


Faida na Hasara

✅ Faida

  • Bonasi ya ukaribisho hadi 300% kwenye deposit ya kwanza (T&C zinatumika).
  • Machaguo mengi: Mechi za ndani na nje, kasino mtandaoni, slots, crash games (kama Aviator), na virtuals.
  • Njia za Malipo Rahisi: M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Kwikpay (M-Lipa), HaloPesa, Selcom.
  • App za Android, iOS na Huawei; huduma kwa wateja kupitia WhatsApp: +255 (0)768 988 200.
  • USSD *149*10# – unabeti hata ukiwa huna data.

❌ Hasara

  • Baadhi ya promosheni zinahitaji kutimiza masharti ya kubashiri (wagering) ndani ya muda maalum.
  • Kabla ya kutoa pesa, lazima ukamilishe KYC na kuthibitisha kuwa una miaka 18+.

Machaguo ya Kubashiri

Utabashiri soka (ikiwemo Ligi Kuu Tanzania Bara), mpira wa kikapu, tenisi na michuano mikubwa duniani. Upande wa kasino kuna live dealer, slots na crash games kama Aviator. Pia utapata virtual sports pamoja na njia mbadala ya haraka kupitia USSD *149*10#.


Malipo - Deposits na Withdrawals

Kwa upande wa malipo, Meridianbet inakubali:

  • M-Pesa
  • Tigo Pesa
  • Airtel Money
  • Kwikpay (M-Lipa)
  • HaloPesa
  • Selcom

Miamala ni ya haraka na salama (SSL). Unaweza kuona historia ya miamala kwenye Akaunti/Statements. Timu ya huduma kwa wateja ipo kukusaidia na kukukumbusha kuhusu kubashiri kwa uwajibikaji.


Jinsi ya Kujisajili

  1. Tembelea: https://meridianbet.co.tz/
  2. Bonyeza Jisajili
  3. Andika namba yako ya simu ya Tanzania na nenosiri lenye herufi angalau 6
  4. Weka promo code 5206
  5. Thibitisha una miaka 18+ na ukubaliane na Vigezo & Masharti
  6. Thibitisha akaunti kwa SMS (OTP)
  7. Weka deposit ya kwanza na uanze kubashiri

App ya Meridianbet - Download

Mwongozo mfupi (Android): Ruhusu “Install from Unknown Sources”, kisha pakua na sakinisha faili la APK kama unavyoelekezwa.


Promo code ya Meridianbet

Promo code ya kujisajili Meridianbet Tanzania ni: 5206

Jinsi ya kuitumia:

  1. Fungua page ya usajili kwenye tovuti au app ya Meridianbet (Angalia link hapo juu).
  2. Ukiwa kwenye fomu ya usajili ingiza code: 5206 kwenye kisanduku cha “Promo code”.
  3. Kamilisha usajili na weka deposit yako ya kwanza na subiri bonasi yako.
  4. Hakiki bonasi kwenye akaunti yako kwa kwenda.

Vidokezo muhimu:

  • Bonasi na promosheni hubadilika.
  • Kusoma “Vigezo & Masharti” ni muhimu: kiwango cha chini cha deposit, muda wa kutumia na masharti ya kubashiri (wagering).

Promosheni na Ofa

  • Bonasi ya ukaribisho hadi 300% kwenye deposit ya kwanza – “Ushindi Wako Umewadia” (T&C zinatumika).
  • Promosheni za mara kwa mara kwa michezo ya soka, kasino na virtuals; angalia vigezo kabla ya kushiriki.
  • Bonasi ya WIN&GO: Bonasi kwenye mchezo wa Win & Go
  • Bonasi ya ukaribisho kwenye miamala mitatu ya kwanza
  • Bonasi ya hadi TSh. 10,000 ukipakua app ya Meridianbet

Hitimisho

Kwa ujumla, Meridianbet ni chaguo safi kwa wachezaji wa Tanzania; mechi nyingi, kasino ya mtandaoni, bonasi ya ukaribisho na malipo ya haraka. Ukiwa na app (Android/iOS/Huawei) na USSD, kutumia ni rahisi kokote. Kumbuka kusoma vigezo vya promosheni na ofa mbalimbali kabla ya kushiriki.

300% ya bonasi ya ukaribisho. Promo code: 5206





Bonasi na Ofa

Betway - Bet kuanzia Tsh. 100

Bet Kuanzia Tsh. 100

Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

GSB Ofa - Beti Jackpot Bure

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!

Jitayarishe kwa changamoto kuu ya utabiri ukitumia FreePick6! Karibu kwenye FreePick6, ambapo ujuzi wako wa kutabiri unaweza kukuongoza kwenye ushindi mkubwa! Kila wiki, una nafasi ya kutabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka liyochaguliwa na kushinda dau nono la hadi milioni 10

Gal Sport Betting Ofa - 100% ofa ya ukaribisho

Ofa ya Ukaribisho 100%

Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Hii ndiyo njia mwafaka ya kuanza nasi na kufurahia msisimko wa kubashiri katika michezo. Usikose ofa hii ya kusisimua, jisajili leo na upate bonasi yako!

Leonbet Ofa - 5,000 BURE

5,000 BURE! Ofa ya App

Changamkia mchongo! Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino. Ni burudani bampa to bampa na LEON!

Leonbet Ofa - Rudishiwa 10%

Rudishiwa 10% Kila Siku

Sloti kumenoga, cheza bila wasiwasi na Urudishiwe 10% Kila Siku. Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku. Usikae kinyonge, cheza sloti na ushinde zawadi deile!