Betway Tanzania 2025 - App, Kujisajili, Promo Code, na Ofa
Maelezo ya Kampuni
- 🌍 Tovuti: https://en.betway.co.tz/
- 📅 Imeanzishwa: 2006 (Tanzania 2021)
- 🎰 Leseni: Gaming Board of Tanzania
- 🆔 Nambari ya Leseni: SBI000000037 / OC000000019
- 📱 Mobile App: Android APK & Web App na iOS
Betway Tanzania ni tawi la kampuni ya kimataifa iliyoanzishwa 2006, ikianza rasmi nchini Tanzania 2021 kupitia Media Bay Limited. Inatoa kubashiri soka, tenisi, cricket, e-sports, virtuals, jackpot, na kasino mtandaoni kupitia tovuti na iOS na Android app yenye muundo rafiki.
Imepewa leseni rasmi na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania chini ya nambari SB1000000037/OC000000019, ikizingatia usalama na uwajibikaji kwa wateja.
Msaada kwa wateja upatikana 24/7 kupitia live chat, simu, barua pepe, na mitandao ya kijamii.
Faida na Hasara
✅ Faida
- Kubashiri michezo mingi (soka, tenisi, cricket, e-sports, kasino, virtuals)
- Android APK, iOS App + Web App mobile-friendly
- Live betting, live streaming & cash-out
- Promosheni kama Arsenal Exclusive, Bet Saver, Win Boost
- Kiasi kidogo cha chini cha deposit na day, 100 TZS
❌ Hasara
- 1,000,000 TZS kama kiwango cha juu cha deposit na withdraw ni kidogo
Machaguo ya Kubashiri
Betway Tanzania ina pre-match na live betting kwa soka (ikiwa Ligi Kuu Tanzania Bara), tenisi, basketball, cricket, e-sports, virtual sports, na kasino. Inatoa pia cash-out na live streaming ya mechi kadhaa, pamoja na takwimu za kina zinazokusaidia kubashiri vizuri.
Malipo - Deposits na Withdrawals
Njia za kufanya miamala ni kama zifuatazo:
- M-Pesa
- Mixx by Yas
- Airtel Money
- Halopesa
- Selcom huduma
Kiasi cha chini kudeposit ni 100 TZS, kiasi cha juu 1,000,000 TZS kwa siku; withdrawals kiasi cha chini 1,000 TZS, kiasi cha juu 1,000,000 TZS. Hakuna ad kwenye deposits na withdrawals
Jinsi ya Kujisajili
- Tembelea: https://en.betway.co.tz/
- Bonyeza kitufe cha “Sign Up”
- Weka namba yako ya simu Tz pamoja na password
- Kubali T&C na uhakikishe uko na miaka 18+
- Thibitisha akaunti yako kwa OTP
- Fanya deposit na upokee promo ofa yako ya hadi 100%
App ya Betway - Download
- Android: Jisajili na Pakua App
- iOS: Jisajili na Pakua App
Promosheni na Ofa
Betway inatoa ofa zifuatazo:
- Arsenal Exclusive - Shinda tiketi, jerseys, zawadi kwa beti za EPL
- Bet Saver - cashback kwa multibet inapokosea au kuchanwa na mechi moja
- Win Boost - boost odds zako hadi 700% kwa multibet
- Promosheni za e-sports na virtuals
Hitimisho
Betway Tanzania ni chaguo imara kwa watanzania wanaotaka kubashiri kwa njia salama, yenye app ya Android, iOS na Web App rahisi, promosheni za kuvutia, na huduma 24/7. Kampuni hii inafanya kazi vizuri Tanzania na duniani kote. Kama unatafuta platform imara, Betway ni chaguo sahihi.
Jiunge sasa na Betway Tanzania kwa ofa kemkem.