Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 - Tanzania Premier League
Hapa chini tumekuwekea msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/26.
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026
# | Team | MP | W | D | L | GD | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1. | Simba | 2 | 2 | 0 | 0 | 6 | 6 |
2. | Singida Black Stars | 2 | 2 | 0 | 0 | 2 | 6 |
3. | JKT Tanzania | 3 | 1 | 2 | 0 | 1 | 5 |
4. | Young Africans | 2 | 1 | 1 | 0 | 3 | 4 |
5. | Azam | 2 | 1 | 1 | 0 | 2 | 4 |
6. | Dodoma Jiji | 3 | 1 | 1 | 1 | 1 | 4 |
7. | Mashujaa | 3 | 1 | 1 | 1 | 0 | 4 |
8. | Mbeya City | 3 | 1 | 1 | 1 | -1 | 4 |
9. | Namungo | 3 | 1 | 1 | 1 | -2 | 4 |
10. | Mtibwa Sugar | 2 | 1 | 0 | 1 | 1 | 3 |
11. | KMC | 3 | 1 | 0 | 2 | -1 | 3 |
12. | Tanzania Prisons | 3 | 1 | 0 | 2 | -1 | 3 |
13. | Coastal Union | 3 | 1 | 0 | 2 | -2 | 3 |
14. | Tabora United | 2 | 0 | 2 | 0 | 0 | 2 |
15. | Pamba Jiji | 3 | 0 | 2 | 1 | -3 | 2 |
16. | Fountain Gate | 3 | 0 | 0 | 3 | -6 | 0 |
Vidokezo NBC 2025/26
Maswali Yalioulizwa Mara kwa Mara
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026 ina jumla ya timu 16 ambapo kati ya hizo, timu inayoshikilia nafasi ya 1 na ya 2 zitashiriki CAF Champions League na timu inayoshikilia nafasi ya 3 itashiriki CAF Confederation Cup.
Katika msimamo wa ligi kuu bara, "Relegation" na "Relegation Play-Off" zinahusiana na kushushwa daraja (au kuepuka kushushwa daraja) kwa timu zilizopo mwishoni mwa msimamo wa ligi. Hizi maana yake ni:
Relegation
- Hii inahusu timu mbili zinazoshika nafasi ya chini kabisa kwenye msimamo wa ligi kuu bara kufuatia mwisho wa msimu.
- Timu hizi hushushwa kutoka ligi kuu kwenda ligi daraja la pili (NBC Championship)
- Idadi ya timu zinazoshushwa mara nyingi kwa ligi kuu bara huwa ni timu mbili za mwisho.
Relegation Playoff (Mchujo wa Kushushwa Daraja)
- Katika Ligi Kuu, timu zinazoingia kwenye "Relegation Playoff" mara nyingi ni zile zinazokaribia kushushwa daraja, lakini bado zinapewa nafasi ya mwisho kujinusuru.
- Kwa msimu wa 2025/2026 timu zitakazo kuwa kwenye "Relegation Playoff" ni timu zitakazo shikilia nafasi ya 13 na 14
- Hizi timu hushindana dhidi ya timu zinazotaka kupanda daraja kutoka ligi daraja la pili
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Bara 2025/2026 ilianza 17/9/2025, 16:00:00 kwa mechi ya ufunguzi kati ya KMC na Dodoma Jiji iliyoisha kwa matokeo ya 1:0
Timu mbili vinara wa mara kwa mara kwa ligi kuu Tanzania Bara ni Young Africans (Yanga SC) na Simba SC
Mataji ya ligi kuu:
- Young Africans inaongoza kwa mataji (makombe) ya ligi kuu Tanzania ikiwa na jumla ya mataji 30 hadi kufikia mwisho wa msimu wa 2023/2024
- Inafuatiwa na Simba SC yenye jumla ya mataji 22 ya ligi kuu hadi kufikia mwisho wa msimu wa 2023/2024
Mikeka ya Leo na Makala
Bonasi na Ofa

Bet Kuanzia Tsh. 100
Shinda hata kwa 100 tu. Beti mikeka yako leo ndani ya betway kwa dau la kuanzia Tsh. 100 na ushinde beti zenye bonus ya hadi 700%

FreePick6 - Beti Jackpot BURE!
Jitayarishe kwa changamoto kuu ya utabiri ukitumia FreePick6! Karibu kwenye FreePick6, ambapo ujuzi wako wa kutabiri unaweza kukuongoza kwenye ushindi mkubwa! Kila wiki, una nafasi ya kutabiri alama sahihi za michezo 6 ya soka liyochaguliwa na kushinda dau nono la hadi milioni 10

Ofa ya Ukaribisho 100%
Pata ofa ya ukaribisho ya hadi 1,000,000 kwenye deposit yako ya kwanza. Hii ndiyo njia mwafaka ya kuanza nasi na kufurahia msisimko wa kubashiri katika michezo. Usikose ofa hii ya kusisimua, jisajili leo na upate bonasi yako!

5,000 BURE! Ofa ya App
Changamkia mchongo! Pakua app ya Android ya LEON na upate bonasi ya 5,000 TZS kutumia kwenye michezo yote ya Sloti na Live Casino. Ni burudani bampa to bampa na LEON!

Rudishiwa 10% Kila Siku
Sloti kumenoga, cheza bila wasiwasi na Urudishiwe 10% Kila Siku. Cheza michezo sloti uipendayo na urudishiwe dau lako hadi 560,000 TZS kila siku. Usikae kinyonge, cheza sloti na ushinde zawadi deile!